Video: Cristiano Ronaldo aachia Trailer ya Movie inayohusu Maisha yake



Ronaldo-Poster

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo mwezi June mwaka 2015 aliingia katika headlines baada ya kukiri kuwa amecheza movie inayohusu maisha yake na itatoka kabla ya mwaka 2015 haujamalizika. June 9 2015 mtandao wa bleacherreport.com uliandika kuhusiana na stori hii.

Ronaldo-Film-Trailer (2)
Picha kutoka kwenye Trailer ya Movie hio.

September 28  Cristiano Ronaldo amerudi katika headlines baada ya kuachia trailer ya movie yake, movie ambayo ilichukua zaidi ya miezi 14 kuitengeneza, movie hiyo imepewa jina rahisi na staa huyo wa soka, kwani inaitwa jina halisi la staa huyo “Ronaldo” . Movie ya Cristiano Ronaldo  ambayo kwa asilimia kubwa inahusu maisha yake halisi.

Ronaldo-Film-Trailer (1)


Ronaldo-Film-Trailer (4)
Baadhi ya vipande vinavyoonekana katika trailer ya movie hiyo, staa huyo anaonekana akiwa na mtoto wake wa kiume Cristiano Ronaldo Junior na kusema kuwa anatamani kuwa golikipa, kitu ambacho Ronaldo anaonekana kushangazwa na nafasi anayotaka kucheza mtoto wake.


Movie hii itaoneshwa katika majumba ya Cinema tofauti duniani 


Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment