Makazi mapya kwa wenye maisha magumu India, yako kwenye ghorofa zilizojengwa kwa Makontena.. +Pichaz

Wapo watu hata nchini Tanzania wamefanya ubunifu mzuri sana, matumizi ya kwanza kabisa ya Makontena ni kusafirishia mizigo kwenye meli, ndege au hata kwenye malori makubwa ya mizigo.
Lakini kuna maeneo ukikatisha mitaani unakuta wako watu ambao wameamua kuyatumia makontena kwa ajili ya biashara, yani kuna madukamini supermarkets za nguvu kabisa zimefunguliwa kwenye Kontena ambalo tayari limefanyiwa ufundi na linapendeza kama ujenzi wa maduka mengine unavyokuwa.
02d36b44eda19397aa3cf8e75f9e1564
Hii ni picha ambayo jamaa wame-design kama duka la kuuza nguo.. ila limetengenezwa kwa Kontena.
CRG Architects ni Kampuni yenye makazi yake China, waliingia Mumbai India kwa kazi moja tu.. kukamilisha ujenzi wa ghorofa za Containskyscraper ambazo kwenye ujenzi wake wote kilichotumika ni makontena tu !!
Ujenzi wote umekamillika kwa kutumia jumla ya makontena 2,400 na hapo itakuwa makazi ya watu zaidi ya 5,000 ambao hawana uwezo na wanaishi kwenye nyumba zilizosongamana na mazingira yake sio salama.
150908112127-container-module-interior-super-169
Huu ni mchoro unaoonesha ubunifu ulivyokuwa mpaka ghorofa linakamilika.
150728113541-india-truck-art-driver-side-view-2-exlarge-169
150908111336-container-2-super-169
150908111422-container-3-super-169
150908111444-container-interior-super-169
Huu ndio muonekano wa ndani.. Jamaa wanapiga kazi nzuri kiukweli, unaambiwa japo Mumbai kuna joto kali lakini kwa ubunifu wao hali ya hewa humo ndani itakuwa poa kabisa !!
150908111516-container-4-super-169
Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment