NAHITAJI LIKE 200 TU ILI KESHO NITUME MAPEMA
SIMULIZI-NEVER SAY GOODBYE
MTUNZI-VICTOR DISMAS
SIMU(Watsaap)-0716616279
INSTAGRAM-VICTOR.DISMAS
FACEBOOK-Victor Dismas Van Manda
SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA
“niambie neno moja tu ambalo litanifanya nijisikie vizuri maisha yangu yote”Doreen alisema huku akimkazia macho Dominick
“Nakupenda Doreen”Dominck alisema huku kijasho kikimtoka
SONGA NAYO
Mapigo ya moyo wa Doreen yalisimama kwa sekunde kadhaa na kuanza kudunda tena kwa kasi.Tabasamu lililomtoka katika lips zake zilimfanya Dominick azidi kupata ujasiri wa kumkodolea macho na kujiona kama samba aliyedondoshwa kwenye kikundi cha swala.
“Nakupenda pia Dominick na nilikuwa nasubiri neno ilo kwa muda mrefu ila sijui kwa nini uliichelewesha”Doreen alisema huku akilegeza macho yake
“Nilikuwa nasubiri nipate nafasi ila tambua nilikupenda tokea siku ya kwanza niliyokuona”Dominick alisema huku akimuacha Doreen akimuangalia kwa macho ya upendo
“kwanini unanipenda Dominick?Doreen aliuliza kumtega Dominick
“Doreen,Love and death come uninvited(Doreen,mapenzi na kifo vinakuja bila kukaribishwa)”Dominick alipoongea neno ilo wala hakuwa na haja ya kuongeza neno linguine kwani Doree aishaelewa na kubaki akitabasamu
Hapo ndipo ulikuwa mwanzo wa mahusiano kati ya Dominick na Doreen,Dominick hakutumia nguvu nyingi kumpata Doreen kama walivyokuwa wanatumia wanaume wengi katika kumfuatiia Doreen,hiyo ilitokana na Tabia alizokuwa nazo Dominick na ujasiri aliouonyesha katika kuongea na Doreen siku ya kwanza japo alionekana mkimya.
“kaka na mimi niazime icho kidawa chako manake wewe kumpata Doreen sidhani kama umetumia njia halali”hayo yalikuwa ni maneno ya Anthony
“Anthony,mapenzi siyo uchawi,mapenzi ni hisia za watu wawili pale zinapogongana na kuamua kujenga uhusiano,hata ukiwa na pesa kiasi gani kama mtu hakupendi ni hakupendi tu hata umuonge bahari,Mimi mwenyewe sijui kwanini Doreen ameamua kunipenda kwani sikutegemea kama itatokea siku moja nikapata msichana mzuri kama Doreen,hisia hizo zinatokana na hali yangu ya kimaisha.Maisha ya nyumbani kwetu siyo mazuri kiuchumi ila tuna utajiri wa furaha”alisema Dominick kwa kirefu na kumfanya Anhony awe mpole
“Dominick umeongea maneno ya kweli rafiki yangu,mimi nilijua kwamba pesa ndiyo kila kitu kwenye mapenzi lakini kumbe fikra zangu zilikuwa potofu,Dominick kama kweli Doreen ameamua kukukabidhi moyo wake basi ni kweli anakupenda sana kwahiyo nawe usije ukamtesa dada wa watu”Anthony aliongea kwa upole na kumfanya Dominick ashangae kwani haikuwahi kutokea hata siku moja Anthony a.k.a mjanja wa mji kuongea maneno yale katika hali kama ile
“ilo ondoa shaka mimi nampenda Doreen kuliko msichana yoyote Yule na sasa nakumbuka maneno ya mama aliyoniambia kwamba mapenzi huwezi kuyazuia”alisema Dominick
Waliongea mengi sana na Anthony huku wakipeana ushauri kwenye masomo,Anthony bado alikuwa na bumbuwazi juu ya Dominick kumpata.Alimuangalia sana Dominick huku akitabasamu na kumfanya Dominick amshangae.
“vipi mbona unaniangalia huku ukicheka?”aliuliza Dominick
“ujue bado siamini kama kweli umempata Doreen”alisema Anthony
“kwanini hauamini?”aliuliza Dominick
“Dominick ulipokuja hapa chuo ulikuwa mpole sana na hakuna aliyetegemea kama itakuja siku utatafuta msichana kama ulivyofanya”Alisema Anthony
“kila kitu kina wakati wake Anthony na mapenzi yana nguvu sana kuliko unavyofikiria”alisema Dominick na kuanza kushika simu yake iliyokuwa inahita
Hakuwa mtu mwingine aliyekuwa anapiga zaidi ya Doreen,Dominick alitabasamu huku akimuanalia Anthony aliyekuwa anamtumbulia macho bila ya kujua ni nani aliyekuwa anapiga.Dominick alisimama na kutoka nje kwaajili ya kupokea simu kwani hakupenda kupokea mbele ya Anthony sababu hakupenda kumuumiza roho rafiki yake
“hallow Doreen”Dominick alisema baada ya kupokea simu
“nimekumic Dominick upo wapi?”aliuliza Doreen
“nipo chumbani,kwani we upo wapi?”Dominick alijibu na kuuliza swali
“nipo chumbani kwetu,niikuwa nataka unisindikize mahali”aisema Doreen
“wapi?”Dominick aliuliza
“hapa hapa chuoni”alisema Doreen
“ok njoo unichukue”alisema Dominick
“okey nakuja”alisema Doreen na kukata simu
Dominick aliingia chumbani na kuanza kubadilisha nguo zake kwaajili ya kumsindiiza Doreen anapotaka kwenda,Dominick hakuwa na pamba kama watoto wa mjii wanavyosema bai alikuwa na nguo za kawaida ambazo ziikuwa zinamsitili na kuonekana mtu kama watu wengine.Baada ya kuvaa alikaa tayari kumsubiri Doreen
…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..
Doreen alikuwa anajiandaa huku moyoni akiwaza ni vitu gani vya kumfanyia Dominick ili awe juu kuliko wanaume wote pale chuoni.Wazo la kwanza liikuwa ni kumfanya Dominick apendeze na kuonekana mtanashati .
“Jack acha nikaonae na Dominick”Doren alimuambia mwenzake
“mh kweli umekamatika rafiki yangu”alisema Jackline huku akitabasamu
“kiukweli nampenda sana Dominick na namuona yupo tofauti sana na wanaume wengine”alidema Doreen
“utofauti wake upo wapi?”Jackine aliuliza
“mimi ndiyo naujua ila ipo siku nitakuambia”alisema Doreen na kutoka nje
Doreen alitembea kwa mwendo wa taratibu mpaka kwenye hostel za wanaume na kupiga simu.Haikuchukua muda mrefu Dominick akawa ameshafika mahali alipokuwa Doreen.Alimkumbatia na kuanza kutembea huku Dominick asijue ni wapi anapelekwa.Waitembea mpaka mlimani city na kuingia ndani.
Haikuwa mara ya kwanza kwa Dominick kuingia kwenye jego hilo kwani alisaingia mara nyingi hasa kuwasindikiza rafiki zake wakati wanapoenda kununua vitu.Doreen aliongoza mpaka kwenye duka moja ambalo lilikuwa linauza simu.
“Dominick chagua simu yoyote itakayokufaa”Doreen alisema huku akitabasamu
“Doreen hapa sijabeba hela ya kununulia simu”alisema Dominik huku akiona aibu
“Dominick mimi nitakununulia”alisema Doreen huku akiona wasiwasi uliojaa katika macho ya Dominick
“sidhani kama ni jambo jema kwa msichana kumnunulia mvulana vitu wakati mvulana ndiyo anatakiwa kufanya hivyo”Doreen alisema
Dominick alikuwa mbishi sana kufanya ivyo lakini Doreen alijitahidi kumuelewesha mpaka Dominick akakubali na kufanya kama Doreen alivyotaka.Manunuzi hayakuishia hapo kwani Doreen alimnunulia Dominick nguo za kutosha pamoja na vitu vya thamani.Dominick alimshukuru sana Doreen kwa kila kitu alichomfanyia japo alikuwa anahona aibu kwani hakupenda iwe hivyo.
“Dominick wewe ni wangu,furaha yako ndiyo furaha yangu,huzuni yako ndiyo huzuni yangu.Dominick sijawahi kumpenda mwanaume katika maisha yangu kamaninavyokupenda wewe.Nakupenda sana Dominick usije ukautesa moyo wangu”Doreen alisema huku macho yake yakilegwa lengwa na machozi
“Doreen sitokuumiza”Dominick alisema kwa ufupi na kumshika mkono Doreen huku wakitoka nje
Kwa watu waliokuwa karibu yao walikuwa wanajua ni kitu gani kinaendelea baina ya hao watu wawili sababu macho yao yalionyesha wazi kwamba wanapendana.Walianza safari ya kurudi hostel huku wakiongea mambo mengi ya kujenga maisha.Dominick alimsindikiza Doreen mpaka kwenye chumba chake huku kila msichana akimuangalia Dominick aliyeongozana na Doreen.
“kweli ndege mjanja ananasa tundu bovu,yani Doreen wakumpenda Yule kaka”alisikika binti mmoj akimuambia mwenzake
“kwani Yule kaka ana nini mpaka asipendwe?”aliuliza mwenzake
“wewe unaona ni sawa kwa Doreen kuwakataa wanaume wenye pesa zao na kumkubali mtu ambae hana mbele wala nyuma?”aliuliza Yule wa kwanza huku akikunja midomo yake
“shoga yangu,mapenzi yana nguvu sana kuliko unavyofikiri,pesa siyo kila kitu kwenye mapenzi kwasababu pesa zinaisha lakini mapenzi ya kweli wala hayana mwisho,kama kweli wanapendana wacha wapendane”alijibu mwenzake
“aya ngoja tuone mwisho wake”alisema Yule wa kwanza na kuendelea na mambo yake
Doreen na Dominick wala hawakuwa na habari na mtu yoyote zaidi ya kuongea mambo yao.Walipoona muda unaenda sana Dominick aliamua kumuhaga Doreen ili arudi hostel kwao kwaajili ya kuendelea na ratiba nyingine.
“Doreen acha niondoke muda unaenda sana na kuna mambo sijayaweka sawa”alisema Dominick
“okey ,Goodbye Dominick”Doreen alisema
“what!!!?”aliuliza kwa mshangao Dominick
“oooh sorry tutaonana kesho”Doreen alisema huku akitabasamu
Walikumbatiana na kuagana kasha Dominick akaanza kurudi hostel kwao.Alipofika ndani aliwakuta wenzake wanapiga story.Dominick aliutupa mfuko wake mkubwa kitandani na kukaa .Kila mtu alimuangalia Dominick aliyekuwa anatabasamu
“kaka vipi mbona unatabasamu?”Anthony ndiyo alikuwa mtu wa kwanza kuuliza
“kawaida tu,vipi kwani?”Dominick alijibu na kuuliza
“naona meno yote nje ndiyo maana nikakuuliza”Anthony alisema huku macho yake yakiuangaia ule mfuko
“mbon kila siku uwa natabasamu”aisema Dominick
“kaka naona mfuko mkubwa,kuna nini?”alisema Anthony huku akisimama na kuuchukua ue mfuko
Anthony alianza kuchambua kila kitu kiichokuwa kwenye ue mfuko huku akitikisa kichwa chake kwa vitu aivyokuwa anaviona.Vilikuwa ni nguo pamoja na vitu vingine vya thamani ambavyo Dminick asingeweza kununua kwa pesa yake.
“kaka najua haya yote ni mambo ya Doreen”Anthony alisema
“yap”Dominick aijibu kifupi
“kaka kweli mtoto amezimika na hii bahati ukiichezea tu imekula kwako,Dah kumbe na mimi ningempata Doreen ningefaidi?”alisema Athony huku akionyesha wivu wa wazi wazi
“mimi sikupenda ila yeye ndiyo ameamua kunifanyia hivyo”Dominick alisema
Wakati wanaendelea kuangalia zile nguo na vitu vingine ujumbe mfupi uliingia kwenye simu ya Dominick,Dominick alitaasamu kwani alijua ule ujube utakuwa umetoka kwa Doreen.Alichukua simu yake na kuanza kuangalia ule ujumbe.Mara sura yake ikaanza kubadilika na kujenga makunyanzi sababu hakutegemea kuona kitu kama kile.Ule ujumbe haukuwa umetoka kwa Doreen bali ulikuwa umetoka kwa mtu mwingine na haukuwa ujumbe mzuri.
“KIJANA NAONA UNAINGILIA ANGA ZA WAKUBWA ,SASA TUONE KAMA UTAMALIZA CHUO”ujumbe ulisomeka hivyo na mtumaji hakuandika jina lake
ITAENDELEA……………………….
Je ni nani aliyetuma huo ujumbe?”
Usikose kufuatilia simulizi hii kila siku

0 comments :
Post a Comment