
Timu ya Mpira wa miguu ya Watanzania Bangalore (TASABA) ilielekea Mysore asubuhi ya Jumamosi kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Timu ya Mpira wa Miguu ya watanzania waishio Mysore.
Mechi iliisha kwa matokeo ya sare ya 1 - 1....
Uongozi wa TASABA unatoa shukrani kwa wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha mechi hii ya kirafiki.
Shuka Chini kuona picha zaidi.....





















Tungependa kusikia Maoni Yako [Tuandikie]
0 comments :
Post a Comment