Sherehe za birthday nazo zina uzito
wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept
13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sanae.
Unaweza kucheki pichaz ambazo mtu wako wa nguvu nimekusogezea uzicheki na usipitwe pia.
Mpya kutoka kwa T.I imekupita? ‘ Check, Run it’ imenifikia, itazame video yake hapa!
Baada ya kutengeneza headlines na wimbo wa ‘Private Show’ aliomshirikisha Chris Brown, T.I amerudi na nyingine mpya wiki hii. Wimbo unaitwa ‘Check, Run it’ na kama video yake bado haijakufikia basi karibu ucheki video hiyo hapa chini.
0 comments :
Post a Comment