Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara klabu ya Dar Es Salaam Young African September 13 wameshuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Coastal Union ya mkoani Tanga, mchezo umepigwa katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Mechi iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga kuona usajili waliyofanya katika timu yao pamoja na kuangalia kuwa historia itajirudia kumfunga Coastal Union kwa idadi kubwa ya magoli kama msimu uliyomalizika? huku kwa upande wa Coastal Union wakiwa wamekamilika chini ya kocha wao Jackson Mayanja kutoka Uganda.
Mechi imemalizika kwa klabu ya Dar Es Salaam Young African kuibuka na ushindi wa goli 2-0, goli la kwanza likitiwa wavuni na Saimon Msuva dakika ya 8 ya mchezo, Donald Ngoma akifunga goli la pili kwa kutumia krosi safi kutoka kwa Saimon Msuva dakika ya 42 kipindi cha kwanza.
Saimon Msuva akishangilia goli
Kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Yanga Vs Coastal Union hivi ni vikosi vya timu zote mbili (+Pichaz)
Bado michezo ya Ligi Kuu inaendelea
baada ya September 12 kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu Tanzania bara,
September 13 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam unapigwa mchezo wa Ligi Kuu
Tanznania ambapo unazikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African
(Yanga) dhidi ya Coastal Union kutokea Tanga. Kabla ya kuanza kwa mchezo
nakusogezea karibu ya vikosi vya timu zote mbili mtu wangu.
First eleven ya Yanga
- Ali Mustapha Mtinge 1
- Nadir Haroud Canavaro 23
- Mbuyu Twite 6
- Mwinyi Haji 20
- Kelvin Yondani 5
- Thabani Michael Kamusoko 13
- Saimon Msuva 27
- Haruna Niyonzima 8
- Tambwe Amissi 17
- Donald Ngoma 11
- Geofrey Mwashiuya 19
- Deogratus Munishi 30
- Pato Ngonyani 15
- Malimi Busungu 16
- Deus Kaseke 4
- Vincent Bossou 9
- Salum Telela 2
- Andrey Coutinho 7
- Sebwako Nicholas 1
- Godfrey Wambura 12
- Hamad Juma 22
- Yasin Mustafa 14
- Ernest Joseph 26
- Tumba Sued 23
- Said Jeilan 16
- Ali Ahmed 7
- Youssoufa Sabo 13
- Nassoro Kapama 2
- Adeyum Ahmed 25
- Fikirini Bakari 30
- Mbwana Hamisi 4
- Abdallah Mfuko 15
- Twaha Ibrahim 10
- Ismail Mohamed 28
- Patrick Protas 20
- Bright Ike 27
Baada ya kushinda pambano la 49, Floyd Mayweather anaachana na mchezo wa Ngumi??
Bondia Floyd Mayweather ni
jamaa mwenye rekodi nzuri ambayo ameijenga kwa kipindi chote cha miaka
yote 19 aliyoitumia kwenye mchezo wa ngumi..Usiku wa kuamkia leo
September 13 2015 kaiendeleza rekodi hiyo kwa kujiandikia ushindi mzuri
baada ya kumpiga Bondia Andre Berto… Baada ya hapo kuna kinachofuatia??
Stori ni nyingi kuhusu pambano lake na Manny Pacquiao kurudiwa, kuna stori kuhusu jamaa kuachana na mchezo wa Ngumi >>> ‘Nimekamilisha kila kitu, nimefanya kila kitu kwenye mchezo wangu… Umri
wangu unakaribia miaka 40, hakuna nilichobakiza kwenye Ulimwengu wa
Ngumi, nahitaji kutumia muda mwingi zaidi na familia yangu‘>> Hii ni moja ya nukuu ya alichokisema Floyd Mayweather baada ya pambano lake na Berto kuisha.
Baba yake Floyd anasema jamaa alilalamika sana maumivu ya mkono wakati akiendelea na pambano na Andre Berto, lakini hakuona kama ni tatizo kwa vile anaelekea kustaafu… Mayweather amemshinda Berto na kuandika headlines za ushindi wa 49 tangu alivyoanza mchezo wa Ngumi mwaka 1996.
0 comments :
Post a Comment