Pichaz kutoka kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa Ccm John Magufuli Musoma Sept 11.

Pichaz kutoka kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa Ccm John Magufuli Musoma Sept 11.

7mgflZiara za wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake John Magufuli leo walikua wakizungumza na wapiga kura wa Musoma Mjini kwenye uwanja wa Mkendo.
9mgflViongozi,Wazee na makada mbalimbali walipata nafasi ya kuongea akiwemo Jaji Sinde Warioba,Naibu Waziri wa Fedha na Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mwigulu Nchemba,Steven Wasira na viongozi wa Mkoa.
8mgflNimefanikiwa kukurekodia kipande kidogo mtu wangu wakati Mgombea Urais Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma Mjini.
6mgfl
5mgfl
3mgfl
2mgfl

 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment