HITS OF THE DAY NEWS

Siku moja baada ya ushindi Lewis Hamilton kaonyesha gari lake la kifahari (Pichaz)

Bingwa wa mbio za magari ya Formula One Lewis Hamilton ameonekana akiwa na gari la kifahari kitu kinachotafsiriwa kama sehemu ya kusherehekea ubingwa wake wa hivi karibuni. Hamilton alishinda ubingwa wake wa saba wa msimu siku ya jumapili Monza Italia Grand Prix.
2C0BCEF400000578-3225149-image-a-25_1441628332202
Siku moja baada ya ushindi wa Lewis Hamilton amepigwa picha akiwa na gari la kifahari la Mercedes G63 AMG ambalo thamani yake inatajwa kufikia pound 370,000 ambazo ni zaidi ya bilioni 1 ya Kitanzania. Tukio la Lewis Hamilton kupiga picha akiwa na gari hiyo inatafsiriwa kama ishara ya kusherehekea ubingwa wake.
2C0BCF4A00000578-3225149-image-a-21_1441628021619
2C0BCED600000578-3225149-image-a-22_1441628112186
2C0BCEE700000578-3225149-image-a-24_1441628300545
2C0BCEC200000578-3225149-image-a-23_1441628266151

Kuelekea michuano ya EURO 2016 Uingereza kufikia katika hotel hii ya kifahari (Pichaz)


Ni kawaida sehemu ambayo hutarajia kupokea watu wengi katika kipindi fulani, bidhaa na vitu vingine hupatikana kwa gharama za juu sana, kutokana na mkusanyiko wa watu wengi na kama unahitaji baadhi ya huduma za sehemu hiyo kama hotel, vyakula na vingine kwa urahisi lazima ufanye booking.
2C0C2C1800000578-0-image-a-43_1441637317114
Timu ya taifa ya Uingereza imeshaanza kufanya maandalizi ya michuano ya EURO 2016 itakayofanyika Ufaransa, Uingereza imefanya booking ya hotel na kuomba kupata huduma maalum kipindi watakapokuwa hapo, sambamba na gharama ya pound 500 kwa usiku mmoja ambayo ni zaidi ya Tsh milioni 1.6 za Kitanzania kwa chumba.
2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517
Huduma watakazo pata Uingereza za VIP ni pamoja na huduma ya treni, uwanja wa mazoezi pamoja na ulinzi kwa usalama wa timu yao. Tayari shirikisho la soka Uingereza FA kupitia kwa kocha wa timu hiyo Roy Hodgson limethibitisha kufikia katika hotel ya Auberge du Jeu Paume na kuomba kupata huduma za VIP.
2C0C2C3200000578-0-image-a-44_1441637317115
2C0C2C6A00000578-0-image-a-57_1441637317642
2C0C2C0400000578-0-image-a-51_1441637317410
2C0C2C4600000578-0-image-a-56_1441637317633
2C0C2C5B00000578-0-image-a-46_1441637317164
2C0C2C9A00000578-0-image-a-49_1441637317334
2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517
2C0C2C9600000578-0-image-a-53_1441637317534
2C0C2C2B00000578-0-image-a-45_1441637317116
2C0C2C3C00000578-0-image-a-55_1441637317555
2C0C6E7D00000578-0-image-a-47_1441637317213 (1)
Uwanja wa US Chantilly utakarabatiwa kabla ya timu ya taifa ya Uingereza kufika hapo . Mwendo wa dakika 4 kutoka mahali watakapo fikia
2C0C307300000578-3225346-image-a-70_1441639348682
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson kulia sambamba na msaidizi wake Gary Neville

Vincent Kompany kamchezea faulo binti yake Sienna

Vincent Kompany amezaliwa kuwa mshindi na kiongozi katika mchezo wa soka, Kompany ambaye ni nahodha wa klabu ya Manchester City pamoja na hayo, Kompany ni baba wa familia na anapenda kucheza na binti yake Sienna.
Nimeona nikukumbushe hii video ya nahodha huyo wa Man City akicheza na binti yake Sienna, licha ya kuwa hii video haikutoka mitandao, ilikuwa katika mechi ya msimu uliyomalizika baada ya mechi ya Man City dhidi ya Southampton mchezo uliyomalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa goli 2-0.
Manchester+City+v+Queens+Park+Rangers+Premier+8OYF0BHNEMll
Kinachovutia wengi katika hii video ni jinsi nahodha huyo wa Man City anavyocheza na mtoto wake, kwani amezoeleka mara nyingi kuwa serious, ila hii michezo ya kumchezea faulo binti yake inaweza ikaja kumtoa meno. Hii ni video ya tukio la nyuma ila imeonekana mitandao hivi karibuni.

Steven Gerrard akiwa na familia yake, moja kati ya sehemu zinazotajwa kuwa na furaha duniani (Pichaz)

Kiungo wa kimataifa wa Uingereza na klabu ya LA Galaxy ya Marekani Steven Gerrard ameingia katika headlines baada ya kwenda kuenjoy na familia yake Disneyland. Gerrard na mkewe pamoja na mabinti zake watatu walienda kutembelea Disneyland kama sehemu ya kufurahia mapumziko yao.
Gerrard-disney
Familia ya Steven Gerrard ilienda kutembelea Disneyland ikiwa ni wiki moja imepita toka watembelee katika studio ya Universal akiwa sambamba na mkewe Alex, pamoja na mabinti zake Lily-Ella, Lexie na LourdesDisneyland inatajwa kuwa moja kati ya sehemu zenye furaha duniani kwa mujibu wa mirror.co.uk.
Steven-Gerrard-Disney-lamn
Hata hivyo Gerrard aliyejiunga na klabu ya LA Galaxy akitokea katika klabu ya Liverpool, bado anaendelea kuenjoy na kutembelea maeneo tofauti tofauti ya Marekani akiwa na familia yake.
Gerrard-disney-3

 


 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment