Hii ndio idadi ya followers wa Diamond Platnumz #Instagram… Kawagusa Davido & Wizkid!

Hii ndio idadi ya followers wa Diamond Platnumz #Instagram… Kawagusa Davido & Wizkid!

Wiki chache zilizopita msanii kutoka Nigeria Davido aliweka headlines baada ya kufikisha followers Milion 1 kwenye Instagram, na kabla ya hapo Wizkid nae aliingia kwenye hesabu ya mastaa wa Africa wenye idadi kubwa sana ya followers kwenye mtandao huo.
chibu3
Safari hii ni time ya msanii kutoka Tanzania kuweka headlines zake kwenye kurasa za social networks… ukipita kwenye page ya Diamond Platnumz sasa hivi utaona mabadiliko kwenye idadi ya followers alionao… idadi ya followers kwenye page ya Diamond sasa hivi imegonga MILLION 1!!
chibu2
Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa mtu wetu Diamond Platnumz anakubalika na idadi kubwa sana ya watu.
chibu

 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment