TASABA HABARI LEO

Kuna hizo Hotel za kifahari zipo katikati ya ya maji nimekusogezea hapa…(Pichaz)

kumi
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na hizi hoteli zenye mvuto zaidi dunini ambazo zimejengwa ndani ya maji mtu wangu.
Unaweza kuzitazama na kuniambia ipi imekuvutia zaidi..
dubai
1. Hydropolis underwater Hotel-Dubai

melde
2. Maldives Hotel-Dubai

hatr
3. The Palm Dubai Underwater Hotel

TRILOB
4. Trilobis underwater Hotel

hote1
5. The Shimao Wonderland, China

hoo
6. Sunrise Hotel-China

hote2
7. Huvafen Fushi, Maldives

hote3
8. Water Discus Hotel, Dubai

hote4
9. Crescent Hydropolis, Dubai

hote5
10. Apeiron Island Hotel, Dubai

hote6
11. The Poseidon Underwater Resort, Fiji

ny
12. The Huffington- Canada

kumi
13. Great Barrier Reef Resort-Australia

cyb
14. Antique Plaza Hotel Hong Kong-China

pose
15. Poseidon Hotel-USA

wolp
16. Katikies Hotel in Santorini- Ugiriki

General News

Mengine kutoka Gerezani alikofungwa Oscar Pistorious… Hasira? chakula cha Sumu.. Choo na bafu? Michezo..

Jail Pisto
Toka Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela ni October 2014, huenda yapo mengi yaliyoendelea ndani ya gereza na hukupata nafasi kuyajua… Kwa Sheria za South Africa ziko stori toka ndani ya Gereza watu wa nje wanaweza kuzipata tofauti na Sheria za nchi nyingine !!
Cha kwanza ni kwamba kumbe jamaa alikuwa mtu mwenye hasira sana siku za kwanza kwanza alivyoanza kutumikia kifungo chake, Maafisa Magereza wawili waliopata nafasi kuwa karibu nae zaidi wamesema wakati huo hakutaka hata kuongea na mtu yoyote.
oscar-pistorius-en_3079797b
Hii ilikuwa October 2014, baada ya Pistorious kuhukumiwa alipokuwa anapakiwa kwenye gari la Magereza baada ya Hukumu Mahakamani.
Siku za kwanza alikuwa anatumia mpaka saa 23 za siku nzima kukaa ndani ya chumba chake jela bila kuongea na mtu yoyote, wala kutoka nje, baadae akaanza kuzoea… >>> ‘Sasahivi ni mtu anayeweza kuongea na kucheka na mtu yoyote’—hii ni nukuu ya alichokisema Ngobeni, mmoja wa Maafisa Magereza hao.
Kingine ni kwamba kuna wakati alidai anataka kujengewa bafu lake mwenyewe kwenye chumba chake, akajengewa bafu pamoja na choo cha pekeyake.. akadai abadilishiwe kitanda, akabadilishiwa. Akataka abadilishiwe vifaa vya gym yake, navyo vikabadilishwa.
Kuna stori ambayo hii ni moja ya zilizosambaa sana mitandaoni kwamba alikuwa na hofu ya kuwekewa sumu kwenye chakula, akabadilishiwa chakula… alihitaji chakula chake kiwe kinanunuliwa kwenye Duka la Magereza.
Kgosi-Mampuru-Correctional-1022
Huu ni muonekano wa Gereza la Kgosi Mampuru II, lililopo Pretoria South Africa.
Siku chache zilizopita baada ya kuwepo kwa stori kwamba huenda akaachiwa huru na kutumikia kifungo che nje, Pistorious aliyasema haya >>> ‘Nimeikumbuka Familia yangu… natamani kuwa nao karibu zaidi, nina hamu ya kuwaona’.
Pistorious anatumikia kifungo ndani ya Gereza la Kgosi Mampuru II, Maafisa ambao wamekuwa nae karibu zaidi na kutoa stori hizo ni Violet Ngobeni na Boitumelo Morake.
Hiki ni kipande cha video kilichowahi kutoka kikionesha Pistorious akicheza mpira Gerezani na mfungwa mwingine.

 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment