TASABA HABARI LEO

Tayari Barcelona imemuongeza jamaa wa nne kwenye list ya manahodha wao..

barca
Kiungo raia wa Argentina Javier Mascherano ameteuliwa kuwa nahodha wa nne kwenye klabu ya Barcelona akiongeza idadi ya manahodha ambayo ilikuwa imebakia manahodha watatu baada ya kuondoka kwa Xavi Hernandez.

Kuondoka kwa Xavi Hernandez kumefungua nafasi moja ya unahodha baada ya kupandishwa kwa Andres Iniesta ambaye amekuwa nahodha wa kikosi cha kwanza huku Lionel Messi akiwa nahodha wa pili na Sergio Busquets akiwa nahodha wa tatu.

Kocha wa Barcelona, Luis Enrique amemzungumzia Mascherano kama mchezaji ambaye ana sifa ya uongozi hata kama sio nahodha rasmi kwenye timu na kwa sababu hii ana kila sifa ya kuwemo kwenye orodha ya manahodha wa klabu.

Enrique ameongeza kuwa Mascherano ni mchezaji ambaye timu nzima inamheshimu na hivyo ni uchaguzi ambao haukuwa na pingamizi toka kwa wachezaji wengine.

 

Mapokezi ya Magufuli kuchukua Fomu na alivyosindikizwa mpaka ofisi za CCM

.
.
Agosti 4, 2015 ni siku ambayo mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli tayari kafika kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Tanzania kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo ya Urais 2015.

Hizi ni pichaz pamoja na maneno waliyoongea Rais wa Jamhuri wa Muungaano Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgombe wa urais kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.

.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

 

 

 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment