RISHI KAPOOR AWAKOROGA MASHABIKI WA SALMAN KHAN, KATRINA KAIF


MWIGIZAJI Rishi Kapoor amejikuta matatani kutoka kwa mashabiki wa nguli wa filamu, Salman Khan na Katrina Kaif.


Rishi kapoor alijaribu kumnanga Salman Khan na Katrina, jambo lililowaudhi mashabiki hao ambao walimtolea uvivu. Baadaye Rishi Kapoor aliwaomba radhi wapenzi wa wakali hao akisema, alieleweka vibaya na kwamba hakuwa na nia mbaya.
Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment