TOP HITS NEWS OF SPORTS OF THE DAY WITH TASABA

David Beckham anatarajiwa kucheza movie ya James Bond 007…

Staa wa zamani wa klabu za Real Madrid, Man United, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza David Beckham anatarajiwa kuonekana katika movie. Beckham mwenye umri wa miaka 40, imeripotiwa kwa mujibu wa mtandao wa mirror.co.uk, unamtaja David Beckham kucheza katika movie ya James Bond.
Beards
Beckham anatajwa kuchukua nafasi ya Daniel Craig ambaye mkataba wake unakaribia kumalizika, Beckham ambaye ni baba wa watoto wa nne amekiri kuwa aliwahi kufikiria kucheza movie baada ya mashabiki kushauri hilo . Hata hivyo taarifa hizi sio ngeni kwa mashabiki wa Beckham kwani ameshawahi kukiri kushawishika katika masuala ya movie.
Daniel-Craig-in-a-new-photoshoot-to-announce-the-release-of-tickets-Bond-film-Spectre
Daniel Craig


Pichaz za Neymar alipokutana na pacha wa mcheza tennis New York…

Winga wa kimataifa wa Brazil na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ameingia katika headlines akiwa New York, Neymar ambaye yupo New York na timu yake ya taifa ya Brazil, ameingia katika headlines baada ya kupigwa busu na ndugu wa mcheza tennis kutokea Canada.
2C06437200000578-0-image-a-53_1441553254036
Neymar akipigwa busu na Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard
Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard alipiga picha akimpiga busu staa wa Brazil Neymar wakiwa katika uwanja wa Red Bull Arena wakati ambapo Brazil walikuwa katika harakati za kucheza mechi ya kirafiki. Picha ambayo imekuwa stori katika mitandao ya kijamii.
2C06424200000578-0-image-a-54_1441553270794
2C06482600000578-0-image-a-55_1441553311284
Beatrice na Eugenie Bouchard
2BFD716000000578-3224262-image-a-66_1441554330862
Mcheza tennis wa Canada Eugenie Bouchard

Hadi July 2014 hawa ndio mastaa 12 wa soka wanaotajwa kuwa wakali wa mitindo (Pichaz)

Hadi July 2014 mtandao wa artbecomesyou.com ulikuwa unawataja mastaa kadhaa wa soka kuwa ndio wakali wa style za mavazi. Licha ya watu wengi kuwa wanaamini kuwa ukiwa na fedha, utakuwa unavaa sana pamba na mkali wa mitindo, ndio ni kweli ili upendeze lazima uingie gharama, unaweza vaa vitu vya gharama lakini usipendeze kutokana na mpangilio wako, ila mastaa hawa ndio wanaotajwa kuwa wakali katika masuala ya mavazi.
  1. David Beckham jamaa ana nyota ya kupendwa kutokana na muonekano wake na ustaa wake kapewa nafasi ya kwanza katika masuala ya kupangilia pamba na mitindo.
tumblr_n7c356d5421tsihnno1_500
tumblr_n7fro0LcGG1qdc9jlo1_1280
British footballer David Beckham carries his daughter Harper Beckham as they arrive at Balthazar restaurant in SoHo, New York City. David and Harper were coming from Victoria Beckham's fashion show. Pictured: David Beckham Ref: SPL434412 090912 Picture by: Christopher Peterson/Splash News Splash News and Pictures Los Angeles: 310-821-2666 New York: 212-619-2666 London: 870-934-2666 photodesk@splashnews.com
2. Samuel Eto’o uhodari wake haukuishia uwanjani tu hata katika masuala ya mitindo huwa ni mkali pia.
ad767-4
Samuel+Eto+o+Fundaction+Privada+Samuel+Eto+uNXenbyVQ2Ux
eto-o-est-toujours-fan-de-paris-et-mise-sur-le-psg-iconsport_ppp_080412_05_0140838
3. Daniel Sturridge huyu ni mkali wakuzifumania nyavu katika soka, kwa suala la mitindo tu yupo vizuri.
4ac95-b75b4f7ea7b511e3a5d612f86b3e3bb7_8 5a241-1389775_294187804065793_1846354355_n
article-2562243-1B9C46E700000578-684_634x523
4. Raul Meireles staa kutokea Ureno anatajwa kama mgonjwa wa masuala ya mitindo na mavazi japo mavazi yake mingine du!! watu hushangaa ila naye yumo katika hii list.
d54340bd41e705b38589f0ec3633c1af
5270590aa2c9b86ff3863f561edd0090
5. Cristiano Ronaldo tumezoea kumuona akiwa katika headlines kutokana na jina lake, kwa mavazi tu yupo vizuri.
Cristiano+Ronaldo+Ties+Narrow+Solid+Tie+Sghx9PiErcBx
Cristiano+Ronaldo+Outerwear+Leather+Coat+tsZHwCXEL9gx
cristiano-ronaldo-gucci-blazer-jacket-spring-2011-scarf-sneakers1
6. Didier Drogba style yake ya nywele pekee inatosha kumjua kuwa ni mtu wa masuala ya kwenda na wakati (Fashion)
Didier+Drogba+Fundaction+Privada+Samuel+Eto+F-KN1J2qRrEx
Didier+Drogba+Jeans+Classic+Jeans+g6m6ejzeljYx
Didier Drogba
Didier+Drogba+Outerwear+Leather+Jacket+TNL6LQM4KU-x
7. Thierry Henry heshima yake haijaishia katika klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, hata katika ulimwengu wa Fashion wanamtambua.
Thierry+Henry+New+York+Red+Bulls+Introduce+Ge8NKT1Aolkx
Thierry+Henry+David+Beckham+Good+Morning+America+D1wht_JJqGCx
thierry-henry-photos-0004
8. Mario Gomez anatajwa kuwa na muonekano wa models wa fashion hivyo jina lake na muonekano wake humfanya apate mikataba ya kutangaza nguo wakati mwingine.
05_Gallery_Mario_Gomez
eye-candy-mario-gomez-24
9. Sergio Ramos yupo sawa na mchezaji mwenzie wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, wote ni wakali katika masuala ya fashion.
Sergio+Ramos+Spain+Training+Session+-mnJK6tYRapx
MADRID, SPAIN - FEBRUARY 13: (EXCLUSIVE COVERAGE) Sergio Ramos and Pilar Rubio are seen leaving a restaurant on February 13, 2013 in Madrid, Spain. (Photo by Europa Press/Europa Press via Getty Images)
sergio-ramos
Sergio+Ramos+Spain+Training+Session+IdRhUBTCXnfx
10. Djibril Cisse ni staa kutokea Ufaransa, kwanza ana muonekano wa kipekee tofauti na wengine kuanzia style ya nywele, ndevu hadi mavazi.
tumblr_m8nq4vm9QZ1r2syj2o1_1280
9ef419f84502ef126a6ce53d796a5efb
61fdb59316cbfeaa421eea49100bb4c2
11. Andrea Pirlo anatajwa kuwa akivaa mavazi mengine tofauti na mavazi ya soka unaweza usimtambue kwa muonekano wake aliyo nao.
tumblr_n7bxuzm7yr1qffprko1_1280
Andrea+Pirlo+Italy+Arrives+Estonia+VzeFbEIQR96x
12. Keisuke Honda mjapan pekee aliye bahatika kuwa katika hii list ya wakali wa style kwa muonekano na mavazi .
marcus-tulio-honda-keisuke-honda-2010-6-6-9-50-33
9de2e-hondasalute

March 4, 2014, Tokyo, Japan : Japanese footballer Keisuke Handa of Serie A club Milan arrives at Narita International Airport in Chiba prefecture, Japan, on March 4, 2014.

Hii ni list ya mastaa wa movie na soka wanaofanana, Di Maria, Messi na Kolou Toure wapo pia…

Kuna usemi unaosema duniani watu wawili wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye. Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika kuwa yupo tu sema bado haijatokea bahati ya nyinyi kukutana. Septemba 6 nakusogezea hii list ya mastaa wa soka na filamu wanao fanana.
tumblr_mls7siviiJ1rrzrk2o1_500
Angel Di Maria kushoto anafanana na muigizaji Dev Patel.
tumblr_m1m0xsqae51rrzrk2o1_500
Lionel Messi anatajwa kufanana na muigizaji Dustin Hoffman
tumblr_ml15sbVgP31rrzrk2o2_r1_500
Staa wa Senegal Demba Ba anatajwa kufanana na Tyrese Gibson
tumblr_mxkd4xW4Hl1rrzrk2o1_500
Olivier Giroud wa Arsenal anafanana na Errol Flynn
tumblr_mov5zyfnYU1rrzrk2o1_500
Kolo Toure yeye anafanana na staa wa movie ya Mandela Idris Elba
tumblr_mp8any31Wn1rrzrk2o1_500
Fred kutokea Brazil anafanana na Dustin Diamond
tumblr_mo5yhdzM9h1rrzrk2o2_r1_500
Fernando Torres kutokea Atletico Madrid anafananishwa na Sacha Baron Cohen

Hizi ni sababu za Memphis Depay wa Man United kuto tumia jina la baba yake katika jezi…

Winga mpya wa klabu ya Manchester United Memphis Depay ameingia kwenye headlines, kama ambavyo huwa ni kawaida kwa mastaa kuingia katika headlines za vyombo vya habari kutokana na maisha yao na uwezo wao uwanjani, safari hii winga huyo wa Kiholanzi ameingia kwenye headlines baada ya kugoma kutumia jina la baba yake.
memphis-depay
Memphis Depay mwenye umri wa miaka 21 amegoma kutumia jina la baba yake katika jezi yake anayovaa, siku zote imezoeleka kuona wachezaji wengi hupenda kutumia majina ya baba zao katika jezi au hata maofisini, ila hii ni tofauti kidogo kwa winga huyo, kwani amegoma kutumia jina la baba yake, kwa sababu alimuacha toka akiwa na umri wa miaka minne.
Memphis Depay
Baba yake kaomba msamaha kwa kosa hilo, Memphis bado hajajibu chochote ila baba yake alihojiwa na the sun na kumuomba mwanaye huyo wasahau mgawanyiko uliyokuwepo kati yake kwa miaka 17 iliyopita.

Didier Drogba hadhihirisha ubora wake Ligi Kuu Marekani 

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Montreal Impact inyoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), ameanza vizuri katika mechi yake ya kwanza toka ajiunge na Ligi hiyo.
2C030EF500000578-3223977-image-a-39_1441523066870
Drogba aliyejiunga na timu hiyo kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea, alifanikiwa kuifungia timu hiyo goli 3 (hat-trick) katika ushindi wa goli 4-3 dhidi ya klabu ya Chicago Fire. Huo ni mwanzo mzuri kwa staa huyo wa Afrika katika Ligi Kuu Marekani.
2C030F2C00000578-3223977-image-a-38_1441523015210

 

Utundu wa Cristiano Ronaldo na Ricardo Quaresma katika ndege kabla ya kuelekea Albania (Pichaz)

Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno kilisafiri Jumamosi ya September 5 kuelekea Albania kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kucheza michuano ya Euro 2016. Mchezo utapigwa Jumatatu ya September 7, muda mchache kabla ya kuanza safari ya kuelekea Albania ambapo watafikia katika mji mkuu wa nchi hiyo Tirana.
2C027CE700000578-0-image-a-14_1441496071768
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo pamoja na winga wa klabu ya BesiktasRicardo Quaresma waliingia katika chumba cha rubani na kupiga picha na video, ambayo muda mchache baadae ilianza kuenea katika mitandao ya kijamii, hii ilikuwa kabla ya ndege kuanza safari ya kuelekea Albania.
2C01BF7B00000578-0-image-m-21_1441496809029

 

Wayne Rooney kaweka rekodi hii mbele ya mkewe Coolen na mtoto wake Kai (Pichaz)

Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadhaa ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016. Timu ya taifa ya Uingereza Jumamosi ya Septemba 5 ilicheza mechi dhidi ya San Marino.
2BFFF80D00000578-0-image-a-4_1441472152918
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney aliingia katika headlines baada ya kuifikia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote katika timu ya taifa ya Uingereza Sir Bobby Charlton, rekodi ambayo inatajwa kudumu kwa muda wa miaka 45. Rooney aliifikia rekodi hiyo baada ya kufunga goli moja katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya San Marino.
2BFFF6CC00000578-0-image-a-16_1441472895911
2BFFFE7500000578-0-image-a-8_1441472308888
2BFFD97100000578-0-image-a-28_1441474265609
Coolen Rooney akishuhudia Rooney akiingia katika rekodi ya kihistoria
2C02769500000578-3223574-image-a-41_1441495378809
Msimamo wa Kundi E

 

 


 

 


 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment