TOP NEWS

Aunt Ezekiel, Wolper, Shamsa Ford walivyojitokeza kwenye mkutano wa ukawa August 27

Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.21 PM
.
2015 ni mwaka wa headlines za Uchaguzi ambapo leo Agosti 27 Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) walifanya mazungumzo na mgombea Urais kupitia UKAWA, Mhe. Edward Lowassa.
Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Millennium tower na kuhudhuriwa na mastaa wa bongo movie akiwemo, Jackline Wolper, Aunt Ezekiel, Shamsa Ford na wengineo.

Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.29 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.34 PM
Mke wa mgombea Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa.
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.39 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.45 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.51 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.43.57 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.05 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.11 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.17 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.24 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.30 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.42 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.44.50 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.45.12 PM
Shamsa Ford ni miongoni mwa wasanii waliojitokeza katika mkutano huo.
Screen Shot 2015-08-27 at 8.45.45 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.45.59 PM
Mgombea Urais kupitia Chadema akiwa mgombea mwenza.
Screen Shot 2015-08-27 at 8.46.15 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.46.28 PM
Mwenyekiti wa chama cha NCCR, James Mbatia.
Screen Shot 2015-08-27 at 8.46.47 PM
Waigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel.
Screen Shot 2015-08-27 at 8.47.02 PM
Screen Shot 2015-08-27 at 8.47.14 PM
.


Hizi ni sababu za Justice Majabvi wa Simba kukataa kuchezea taifa lake…

Kiungo wa kimataifa wa Zimbabwe ambaye ametua Simba msimu huu akitokea klabu ya Vicem Hai Phong F.C ya Vietnam Justice Majabvi ambayo alikuwa amemaliza mkataba wake katika klabu hiyo. Bado anaendelea kukupa ile exclusive interview  aliyofanya na millardayo.com.
IMG-20150826-WA0004
Majabvi akichuana na Ivan Rakitic wa FC Barcelona wakati wote wakicheza Australia Bundesliga
Majabvi amesajiliwa na Simba kwa kiwango kizuri alichokionyesha baada ya kufanya majaribio na klabu hiyo ila swali lilikuwa hivi mbona Majabvi ana kiwango kizuri ila rekodi zinaonesha mara ya mwisho kucheza katika timu ya taifa ya Zimbabwe ni mwaka 2012, tatizo nini?
IMG-20150826-WA0015
“Ndio niliacha kuchezea timu ya taifa kwa sababu ya matatizo mengi katika timu ya taifa, nimecheza timu ya taifa toka mwaka 2004 hadi 2012, kwa sababu ya matatizo binafsi na shirikisho la soka la Zimbabwe, nilikuwa natumia hela yangu kama nauli kuja kucheza timu ya taifa lakini sikuwa nikirudishiwa” >>> Majabvi


Everton wamejibu ombi la John Stones kuuzwa Chelsea.

Siku mbili baada ya mchezaji wa kimataifa wa England anayekipiga katika klabu ya Everton, John Stones, kuandika barua ya kuomba kuuzwa na klabu yake, hatimaye klabu yake imejibu maombi yake.
 
Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa jioni ya Alhamisi na mwenyekiti wa klabu ya Everton Bill Kenwright, ombi la mchezaji huyo kuuzwa kwenda Chelsea limekataliwa.
Mabingwa wa Uingereza, Chelsea wameshatuma ofa tatu tofauti kwenda Everton ili kumsajili Stones – walianza na ofa ya £20million, kisha £26m na wiki iliyopita £30m na zote zikapigwa chini, na sasa wanategemewa kurudi na ofa ya nne ya £33m.
  Taarifa ya Everton iliyowekwa kwenye mtandao wao inasema: ‘Everton Football Club imekataa rasmi ombi la kuuzwa kutoka kwa John Stones.
‘Tangu lilipofunguliwa dirisha la usajili, tumeshakataa ofa nyingi kutoka kwa vilabu tofauti vya Premier League.
‘John hauzwi na ataendelea kubaki hapa kama mmoja wa wachezaji wetu muhimu wa kikosi cha kwanza’

Sentensi za mgombea Urais 2015 kupitia CCM Dkt Johh Pombe Magufuli

.
.
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli bado  anaendelea na ziara zake  za Uchaguzi 2015, huko mikoani.
Sasa hapa nina sentensi za mgombea huyo akiwa ana zungumza katika ziara hizo.


Mtu wangu wa nguvu ninayo ripoti kutoka Uturuki waliko weka kambi Taifa Stars

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars bado ipo nchini Uturuki inaendelea na kambi yake ya siku nane kujiandaa kabla kucheza mechi dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles ya kuwania kufuzu AFCON 2017, mchezo utakaopigwa Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
ball
August 27 kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametoa ripoti kuhusu maendeleo ya kambi hiyo sambamba na hali za wachezaji, Mkwasa amethibitisha wachezaji kuwa katika hali nzuri kasoro Abdi Banda ndio anasumbuliwa na misuli. Vipi kuhusu uamuzi wa kuweka kambi Uturuki ikiwa kuna hali ya hewa ya baridi ukilinganisha na sehemu utakapopigwa mchezo huo.
DSC_0030
“Kwa ujumla kambi inaenda vizuri wachezaji wapo vizuri kasoro Abdi Banda ndio amepata matatizo ya misuli, tupo huku kwa kambi tunajua kuna baridi ila sehemu yenye baridi kuna Oxygen ndogo hivyo mapafu yanafanya kazi sana kutafuta hewa hivyo ukizoea kuvuta hewa kidogo ukija katika sehemu ambayo ina hewa nyingi inakuwa rahisi kucheza vizuri”>>> Mkwasa


 


 

 


 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment