CCM waanguka kura za maoni, Makongoro kujitoa CCM? Said Fella na Yusuph Manj Udiwani?
Magazeti ya August 3 2015
yako mtaani tayari na vichwa vyake vikubwa vya habari, kazi yangu ni
kukusogezea zile zote kubwa kubwa zinazoweka vichwa vya habari
magazetini…
CCM waanguka kura za maoni, Rostam Aziz agonga mwamba ajisalimisha kwa Magufuli, Makada wa CCM ngumi nje nje na Makongoro Mahanga ajingo’a CCM na kujiunga na CHADEMA.
Mawaziri wa 5 CCM waanguka kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia Chama hicho, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe na Manaibu Waziri 4.
Kamati Kuu CHADEMA siri nzito na wadau wa 2 wa michezo na burudani Tanzania Yusuph Manji na Said Fella waibuka videdea katika vinyanganyiro vya Udiwani katika jimbo jipya la Mbagala jijini Dar.
0 comments :
Post a Comment