TASABA SPORT LEO

Bongo movie vs viongozi wa Simba SC, watazame kina JB kwenye hiki kipisi cha video

AW1A9826 - CopyAugust 8 2015 ilikua ni Simba Day ndani ya jiji la Dar es salaam ambapo kulikua na matukio mengi ya kuikamilisha hii siku kubwa kwenye club ya soka ya Tanzania ya Simba SC kwenye uwanja wa Taifa ambapo miongoni mwa hayo matukio kulikua na mechi za Simba vs SC Villa ya Uganda na mechi ya viongozi wa Simba vs Wasanii wa bongo movie.

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment