Mapokezi ya Edward Lowassa Zanzibar leo kwenye hizi picha 16

Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA,
Edward Lowassa kusaka
Wadhamini kwenye Mikoa mbalimbali Tanzania imekamilika tayari August 17
2015, kilele cha Safari hiyo ni Visiwani Zanzibar ambapo umefanyika
Mkutano eneo la Kibanda Maiti.
Pichaz zote kutoka Unguja nimezipata
mapema mapema mtu wangu, unaweza kuona kwenye hizi pichaz jinsi ambavyo
Zanzibar imempokea Mgombea huyo pamoja na Timu ya Viongozi wa UKAWA.

.

.

.

.

.

Khamis Mgeja akizungumza katika mkutano huo.

James Mbatia akiongea na watu wa Zanzibar kwenye Mkutano eneo la Kibanda Maiti.

Seif Sharif Hamad nae akihutubia kwenye Mkutan huo.

Ukafika wakati wa Mgombea huyo Urais, Edward Lowassa kuongea na Wazanzibar.

0 comments :
Post a Comment