TASABA NEWS TODAY

Nimeyapata matokeo ya uchaguzi wa Wabunge Bumbuli #CCM

printHeadlines za sasa nyingi zimeelekea kwenye siasa ambapo Tanzania mwezi October itakua ni muda wa Watanzania wote kuwapigia kura wagombea ambao wanaona wanafaa.
Yamenifikia matokeo ya uchaguzi wa Wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi jimbo la Bumbuli,ambazo zimetolewa na Ramadhan Mahanyu Mkurugenzi wa Uchaguzi wilaya ya Lushoto.
bumbuliJanuary Yusuph Makamba amepata kura 17,805 halafu mgombea mwingine ni Abdulkadir Abdi Mgheni yeye amepata kura 2,403,Abubakar Juma Mshihiri yeye amepata kura 205 na Yusuph Juma Shekwavi amepata kura 69.
Nimeambiwa pia kura zilizopigwa ni 20,522 kati ya hizo 40 ziliharibika na 20,482 ni kura halali.

Hii ndio zawadi ya harusi ambayo Cristiano Ronaldo anamnunulia wakala wake

Ni zawadi gani ya ndoa unaweza kumnunulia wakala namba moja wa wachezaji duniani?
‘Super agent’ Jorge Mendes, wakala wa Jose Mourinho, James Rodriguez, Nani, Falcao, Angel Di Maria, Cristiano Ronaldo – anatarajia kumuoa mchumba wake wa siku nyingi – Sandra Barbosa huko nchini Ureno.
 Cristiano Ronaldo, ambaye ni mteja mkuu wa Mendes, atakuwa ‘best man’ katika harusi hiyo, na taarifa kutoka nchini Ureno zinasema mshambuliaji huyo wa Madrid anatarajia kumpa zawadi ya ‘kisiwa’ atakachomnunulia huko nchini Ugiriki.

Habari za Ronaldo kumzawadia Mendes zilianza kuripotiwa na mtandao wa Noticia.
Kwa mujibu wa ripoti, Ronaldo anatarajia kutumia €50m kwa ajili ya kununua kisiwa hicho.
 Mendes is one of the richest men in Portugal, with a fortune believed to be in excess of €100 million.
Ronaldo won’t be the only footballer in attendance at the wedding, as he’ll be joined by James Rodriguez, Pepe and Radamel Falcao.
Chelsea manager Jose Mourinho is also set to be at the event, along with Sporting CP coach Jorge Jesus.
Other leading football personalities invited include Florentino Perez, Roman Abramovich, Peter Lim and Joan Laporta.

Inasemekana ni Wema Sepetu na Nuh Mziwanda kwenye hizi dakika 9.

Nuh-MziwandaKama unatumia mitandao mbalimbali ya kijamii utakua umekutana na sauti ambayo inasemekana ni sauti ya Nuh Mziwanda na Wema Sepetu wakizungumza kitu kinachoashiria upendo wa Nuh kwenda kwa Wema.
Nuh Mziwanda ni mpenzi pia wa Shilole,Sauti hiyo pia imeifikia millardayo.com unaweza bonyeza play hapo chini kusikiliza.

Di Maria ndio anaondoka hivyo…. bye bye Manchester United

angel-di-maria-513797
Sio zaidi ya siku tatu zimepita toka kocha wa Manchester United Louis van Gaal athibitishe kutokujua wapi alipo kiungo wa Kiargentina Angel Di Maria baada ya kuulizwa swali na waandishi wa habari juu ya kutoonekana kwake kikosini kwa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza.
Angel-Di-Maria
Kutoonekana kwake kikosini inadaiwa ni ishara ya Di Maria kushinikiza uhamisho wake wa kwenda katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa baada ya kuhusishwa kujiunga nayo kwa muda mrefu.
Angel di MarĂ­a
August 2 taarifa mpya zimetoka zinazobainisha mpango wa Di Maria kuhamia katika klabu ya PSG kuwa klabu hizo mbili zimefikia makubaliano ya kuuziana kiungo huyo kwa pound milioni 44.5 na atafanya vipimo vya afya jumapili ya August 2 kabla ya kusaini mkataba na klabu hiyo.
1411418411062_wps_44_LEICESTER_ENGLAND_SEPTEMB
Angel Di Maria akiwa na Manchester United amecheza mechi 32 katika mashindano yote na kufunga magoli 4 na assist 12, kocha wa klabu ya PSG Laurent Blanc amethibitisha klabu yake kuwinda saini ya Di Maria kwa zaidi ya misimu miwili na atafanyiwa vipimo vya afya Qatar.


MANCHESTER, ENGLAND - SEPTEMBER 14:  Angel Di Maria of Manchester United looks on during the Barclays Premier League match between Manchester United and Queens Park Rangers at Old Trafford on September 14, 2014 in Manchester, England.  (Photo by Alex Livesey/Getty Images)

 

 


 


 

Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment