Hivi ndivyo Stamina alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wake Morogoro… (Pichaz)
Vodacom Tanzania wameandika headlines
nyingine Morogoro kwa watu wao wa nguvu kabisa, japo wanatoa huduma ya
Mawasiliano lakini bado kuna mengine mazuri kabisa ambayo Vodacom huwa
inawasogezea watu wake ikiwemo burudani.
Safari hii ilikuwa elimu ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ ambapo
wateja wao wameelimishwa kuhusiana na uzuri wa huduma hiyo
inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi
zaidi.
Baada ya elimu ni burudani, YES !! Mtu wa mji kasoro bahari, Rapper Stamina alipanda kwenye stage na kutoa burudani nzito kabisa watu wakaenjoy..!!
0 comments :
Post a Comment