. . Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Agosti 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .


CNNNi moja ya zile stori kubwa za wiki hii duniani ambapo CNN wameripoti kwamba taji lililokuwa likishikiliwa na kampuni ya Toyota ya Japan iliyovunja rekodi kwa miaka mingine, limebebwa na kampuni nyingine sasa hivi.
Data za mauzo ya magari kwenye miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2015 zinaonyesha kwamba kampuni ya Ujerumani Volkswagen ndio imeshika namba 1 kwa mauzo ya magari kwenye nchi mbalimbali za dunia na kuipiku Toyota ambayo imeuza magari MILIONI 5.02 huku Volkswagen ikiuza kwa MILIONI 5.04
Pamoja na hizo takwimu, bado Toyota inafanya vizuri kwenye soko la Afrika kutokana na magari yake kuwa imara na yanayoweza kumudu miundombinu mibovu ya barabara Afrika lakini pia upatikanaji wa spare na bei zake kuwa nafuu kumezidi kuwavutia Waafrika wengi.
Share on Google Plus

About Unknown

TEAM TASABA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment