HISTORIA YA TASABA; kwa ufupi TASABA ilianzishwa hapo awali na Wanafunzi wa Kitanzania waishio Bangalore,India. Ambapo mmoja wa watanzania alipotea kwa mda mrefu na amna Tanzania yeyote alijua mahali alipo potelea ndipo wananchi wa Tanzania wakaona kuunda Uongozi wa TASABA ambao kirefu chake ilikuwa TANZANIAN STUDENT ASSOCIATION IN BANGALORE,INDIA.
HII NI LOGO YA TASABA
TASABA imetawaliwa na viongozi 8 tangu 2008-2016,ambapo ulikuwa uongozi wa viongozi wa awamu 7, ambao viongozi hao walikuwa.
BARAKA ABDALLAH KANGE, 2008-2009,Alikuwa kiongozi wa TASABA wa kwanza katika list yangu ya viongozi walio tawala watanzania wahishio Bangalore,India.
FIDELIS MSOMEKELA 2009-2010, Ni kiongozi alie kuwa msaada mkubwa kwa viongozi wengi walio kuja chini yake kama mlezi wa chama, mpaka alipo ondoka 2013,Bangalore, India.
PROSPER WILFREM MWAKITWANGE 2015-2016, He is the current PRESIDENT of TASABA. Alikuwa makamu wa urais 2012-2013, wakati wa utawala wa Henry Mndeme, ambao wananchi waliona kazi yake na utawala uliowafuata wakamteuwa rais wa TASABA, kuna matumaini mengi biyana ya watanzania kwamba kutakuwa na mabadiliko katika utendaji kutokana uzoefu na Utendaji wake wa awali alipokuwa makamu wa urais,TASABA.
HII NI LOGO YA TASABATASABA imetawaliwa na viongozi 8 tangu 2008-2016,ambapo ulikuwa uongozi wa viongozi wa awamu 7, ambao viongozi hao walikuwa.
BARAKA ABDALLAH KANGE, 2008-2009,Alikuwa kiongozi wa TASABA wa kwanza katika list yangu ya viongozi walio tawala watanzania wahishio Bangalore,India.
FIDELIS MSOMEKELA 2009-2010, Ni kiongozi alie kuwa msaada mkubwa kwa viongozi wengi walio kuja chini yake kama mlezi wa chama, mpaka alipo ondoka 2013,Bangalore, India.
PROSPER WILFREM MWAKITWANGE 2015-2016, He is the current PRESIDENT of TASABA. Alikuwa makamu wa urais 2012-2013, wakati wa utawala wa Henry Mndeme, ambao wananchi waliona kazi yake na utawala uliowafuata wakamteuwa rais wa TASABA, kuna matumaini mengi biyana ya watanzania kwamba kutakuwa na mabadiliko katika utendaji kutokana uzoefu na Utendaji wake wa awali alipokuwa makamu wa urais,TASABA.
Hawa ndio waliowai kuwa marais TASABA,
TASABA imepitia changamoto mbali mpaka kufikia hapa ila Ubalozi wa Tanzania, DELH,India. umekuwa mstari wa mbele kuwatia moyo wana TASABA, katika mambo mbali mbali.
Hii ni historia fupi ya TASABA, NA UTAWALA WOTE WA TASABA.

0 comments :
Post a Comment